Mafunzo ya (OPRAS) mfumo wa wazi wa mapitio ya tathmini ya utendaji kazi pia ni utaratibu wa kumpima mtumishi utendaji wake wa kazi kwa kipindi cha mwaka mmoja ambapo katika utekelezaji huu upimaji hufanyika kwa lengo la mwajili na mtumishi katika kupanga mipango ya utekelezaji na kusimamia na kutathmini utekelezaji na kufanya mabadiliko ya utekelezaji yenye kuboresha utendaji katika taasisi yakiwa naazma ya kufikia malengo ya taasisi kwa ujumla serikalini yanaendelea Wilaya ya Ikungi Mkoa wa Singida Tangu Tarehe 28 Novemba 2o23.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa