MBUNGE wa jimbo la Singida Mashariki Mhe. Miraji Mtaturu amekuwa wa kwanza kujiandikisha katika daftari la mkaazi la wapiga kura katika Kitongoji cha Tambukareli kijiji cha Ikungi.Mara baada ya kushiriki zoezi hilo Mhe Mtaturu ametoa wito kwa wananchi kuhakikisha wanashiriki kikamilifu kujiandikisha ili waweze kupiga kura Novemba 27,2024 kwani ni haki yao ya Msingi.Zoezi hilo limeanza leo Octoba 11 hadi 20,2024.Jiandikishe upate haki ya kupiga kura.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa