Mkuu wa mkoa wa Singida Mhe Peter Serukamba akutana na wakuu wa Idara Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi kujadili mapato ya wilaya hiyo...
Akizungumza na wakuu wa idara hao hii leo tarehe 10 Octoba,2022 mkuu wa mkoa amesema kuwa wakuu wa idara wanapaswa kufatilia kwa karibu mapato ili yaweze kusaidia katika ujenzi wa maendeleo ya jamii...
Pia Serukamba ameongeza na kusema kuwa walipa kodi wanapaswa kupewa elimu ili kuepusha ukwepaji wa kulipa kodi jambo litakalopelekea upotevu wa mapato ya serikali.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa