Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya ikungi Ndg Justice L. Kijazi akiwa na mkaguzi wa ndani Ndg Philemon Daftari Pamoja na mhe diwani wa kata ya Iglansoni akikagua shughuli za ujenzi wa mradi wa mradi wa maji unaotumia sola...
Ukaguzi huo umefanyika tarehe 20 septembe, 2022 baada ya malalamiko ya wananchi wakati wa utekelwzaji wa mradi huo...
Kijazi ameahidi kushughulikia malalamiko hayo kwa kuwasiliana na mlaka husika ili wananchi waweze kupata huduma hiyo...
Mradi huo upo katika hatua za mwishio katika kukamilika.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa