Mkurugenzi Mtendaji ameyasema hayo mapema leo tarehe 17/09/2017 alipokutana na Maafisa Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Amewataka Watendaji hao kujua kwamba wao kama watendaji wa serikali wanatakiwa kufanya kazi kwa weledi na kwamba amewaamini hivyo nao wanapaswa kutambua dhamana hiyo. Pamoja na hayoa amesisitiza watendaji wa kata wapewe stahiki zao wanazodai "Nimeshafuatilia madeni yenu na nimeshayapitisha ili mlipwe stahiki zenu na tutawalipa kwa awamu kwa kadri tutakavyoweza ili mfanye kazi bila manung'uniko". Alisema Kijazi .
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa