Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan afungua kituo cha Polisi Ikungi na kuwapongeza watumishi kwa kusimamia mradi huo mpaka kukamilika kwake na mara baada ya ufunguzi huo amezungumza na wananchi wa Ikungi na baadae Puma kuwa wananchi wafanye kazi kwa bidii na kuzingatia maelekezo ya viongozi wao lengo ni kukuza maendeleo kwa kasi Wilayani Ikungi Mwisho amewaomba wananchi wote kuhudhuria Mkutano utakaofanyika Tarehe 16 Octoba 2023 Mjini Singida uwanja wa Bombadia
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa