Shule ya sekondari mossimatongo iliyopo kata ya Ikungi imeanza rasmi .Wanafunzi ni 128 .kidato cha kwanza ni 75 kidato cha tatu ni 53 na Walimu sita wamepangiwa katika shule hiyo.Lengo la shule hiyo ni kusaidia wanafunzi wanaotoka mbali .Namba ya usajili ni S.5870.Pichani katikati ni Afisa Elimu sekondari Ndg Ngwano Ngwano na kulia na kushoto ni Walimu pamoja na Wanafunzi,leo tarehe 5/9/2022.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa