UVIKO 19 inaepukika Kama tukifuata taratibu na miongozo iliyowekwa na wizara ya afya. Sasa Chanjo ya UVIKO 19 inatolewa katika vituo vyote vya afya vya serikali. Chanjo hii ni salama na Haina madhara na inatolewa kwa watu wote wenye umri kuanzia miaka 18 na kuendelea. Wananchi wote wanaombwa kujitokeza kwa wingi kupata Chanjo dhidi ya maambukizi ya korona na kupuuza maneno ya upotoshaji.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa