Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Ndg Justice Kijazi anawatangazia wananchi wote nchini Tanzania kuwa kutakuwa na mnada wa hadhara wa kuuza magari chakavu manne (04) Tarehe 05/07/2023 katika viwanja vya ofisi ya Halmashari wilaya aya Ikungi.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa