Leo ndio maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yanaongozwa na kaulimbiu “Tanzania ni Moja Tu. Tunza Mazingira”, kaulimbiu inayohamasisha jamii kuishi maisha endelevu pamoja na rasilimali zinazotuzunguka.
Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ni tarehe 5 Juni, 2022 ambapo Mgeni rasmi ni Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maadhimisho haya yatafanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa