Mratibu wa TASSAF Ndg Masungu Mdanyi pamoja na Afisa ufatiliaji Nuru Mkomambo wawatembelea wanufaika wa TASSAF katika kijiji cha Mpugizi halmashauri ya ikungi tarehe 20 septembe...
Mratibu ndugu Mdanya amewakumbudsha utaratibu wa uchukuaji wa fedha na jinsi ya kuanzisha miradi midogo midogo ili kujikwamua na umasikini...
Idadi ya walengwa katika kijiji hicho ni 85 na wote wamefikiwa chini ya mwezeshaji Vick P. Mushi.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa