Ujenzi wa daraja la Faraja lililopo kijiji cha Makiungu katika kata ya Makiungu. Ujenzi huu unasimamiwa na TARURA Ikungi. Daraja linaendelea kujengwa kwa kasi kubwa ambapo wananchi watafaidika kwa kuongeza uchumi kwani mazao yatasafirishwa bila kikwazo chochote
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa