UJENZI WA KITUO CHA AFYA IHANJA WAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 95
Ujenzi wa miundo mbinu hii katika kituo cha Afya ya Ihanja ulitegemewa kuanza mwezi wa kumi baada ya kupokea fedha mwishoni wa mwezi wa tisa (9). Hata hivyo kutokana na mabadiliko ya namna ya kutumia fedha hizo kutoka kutumia wakandarasi na kutumia utaratibu wa “Force Account”. ujenzi ulianza rasmi tarehe 1/11/2017 na ulitegemewa kuisha tarehe 30/01/2018. Hadi kufikia Leo kazi hiyo imefikia wastani wa zaidi ya 95% na ujenzi/ukarabati unategemewa kukamilika 22/02/2018. kituo hiki kitakapokamilika kitaweza kuhudumia wakazi wapatao 177,138 wa Tarafa za Ihanja na Ikungi. Majengo yaliyokarabatiwa au kujengwa ni pamoja na
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa