Mganga Mkuu halmashauri ya wilaya ya Ikungi sawa, Dr Solomon Michael
pamoja na Afisa Afya Abuid Abuid wakikagua upatikanaji wa Dawa katika zahanati ya Ulyampiti,nkuhi, isuna na Choda.
Mapema hii leo tarehe 23 Septemba Timu ya ukaguzi ilifika zahanati hizo na
Kufanya ukaguzi wa dawa pamoja na ujenzi wa vyoo Nkuhi na kubaini kwa vyoo hivyo inaelekea hatua ya mwisho kukamilika na Choda vimekwisha kukamilika kwa ajili ya matumizi.UKA
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa