• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Ikungi District Council
Ikungi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Tekolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Utawala
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbailmbali
    • Fomu Malimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Vituo vya habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Usiyoyajua kuhusu sherehe za Uhuru

Posted on: December 9th, 2021


 Desemba 9 mwaka 1961 - mambo makubwa mawili yalifanyika kama sehemu ya maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika; Mosi ilikuwa ni kushusha chini bendera ya mkoloni na kupandisha ya taifa huru na wakati huohuo kupandisha Mwenge wa Uhuru kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro.

Tukio la kupandisha bendera lilifanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, uwanja uliojengwa mahsusi kwa ajili ya sherehe za uhuru na umuhimu wake ulikuwa kuonesha kuondoka kwa mkoloni na kwamba kuanzia wakati huo - Watanganyika watakuwa huru kufanya mambo yao wenyewe kwa mustakabali wao.

Kushushwa kwa bendera ile kulikuwa ni tukio kubwa kwa waliolishuhudia. Kuna wazee wa zamani wanazungumza kuhusu vilio vya furaha vilivyosikika wakati wa tukio hilo lililofanyika saa sita usiku.

Kule Kilimanjaro, tukio hilo halikujulikana maana yake sana hadi pale Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alipozungumza maneno yafuatayo kuhusu tukio hilo; ""Tunataka kuwasha Mwenge na kuuweka juu ya Mlima Kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu; ulete tumaini pale ambapo hakuna matumaini; upendo mahali palipo na chuki na heshima palipojaa dharau".

Miaka 60 baada ya Uhuru wa Tanganyika - sasa ikifahamika zaidi kwa jina la Tanzania kutokana na Muungano wake na Zanzibar mwaka 1964, ni wakati wa kutafakari na kuona kama taifa hili lipo pahali ambapo wale waliopigania Uhuru walitaka iwe wakati huu.


 Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Ikungi  inawatakia heri siku ya Uhuru.

Matangazo

  • MPYA! MPYA! MPYA! TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWA WATANZANIA WOTE WENYE SIFA ZA KUOMBA KAZI May 25, 2022
  • View All

Habari mpya

  • Mkutano wa baraza la Madiwani

    May 12, 2022
  • kamati ya bajeti ya fedha wakijadili jambo kwenye kikao

    May 05, 2022
  • Zaidi ya watoto 62155 kunufaika na chanjo ya polio Ikungi,Mkuu wa wilaya Jerry Muroakiongoza kikao cha kuratibu zoezi la kitaifa la chanjo ya polio kilichofanyika mkoani Singida jana

    April 26, 2022
  • KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII WAKIKAGUA MRADI WA JENGO SHULE MSINGI IKUNGI

    April 25, 2022
  • View All

Video

DC Muro atembelea Kata ya Mkiwa na kukagua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Mkiwa. Kazi inaendelea...
More Videos

Viunganishi vya haraka

Tovuti unganifu

  • EGA website
  • public service management
  • TAMISEMI website
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

    Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania

    Simu ya mezani: +255262964037/6

    Mobile:

    Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa