Akiwasilisha Makisio ya Matumizi ya Bajeti, Afisa Utamaduni, Sanaa, na Michezo Bwana Kennan J. Kidanka amesema kuwa wanatarajia kutenga fedha kwa ajili ya mafunzo ya wataalamu wa michezo, ujenzi wa viwanja, pamoja na kuandaa matamasha mbalimbali ya kujibu vipaji wilayani Ikungi.
Pamoja na hayo, mikakati iliyopo kupitia kitengo hicho ni kusajili vikundi vya sanaa na kufanyika kwa mabonanza ya mara kwa mara ili kuimarisha afya za vijana na wananchi wote kwa ujumla.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa