Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Ngd Justice Kijazi amewashukuru wafadhili wanaotoa msaada kwa watoto wa Wilaya ya Ikungi...
Watoto wa Ikungi wamepokea msaada wa chakula na nguo kutoka kwa wafadhili wao na kwa nyakati tofauti walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari wamesema kuwa wamefurahi na kuomba wafadhili wengine kujitokeza na kuwasaidia ili waendelea vyema katika masomo yao.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa