Waziri mkuu Mh Kassim Majaliwa amesema serikali ya awamu ya tano imedhamiria kuondoa malimbikizo ya madai kwa watumishi wa umma na kwa sasa inakamilisha uhakiki wa taarifa za watumishi ili kubaini watumishi hewa ambao hadi sasa wamepatikana elfu 16,500.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa