Wakuu wa Idara Ndg Richard Rwehumbiza,Edward Milinga,Msafiri Ibrahimu na Saliga Mkome wametembelea ujenzi wa madarasa mapya ya shule ya Sekondari Ikungi,Unyahati,Dadu na Puma Wakuu hao wamesema kuwa speed iongezeke katika ujenzi wa madarasa hayo ili watoto waendelee kupata elimu bora zaidi.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa