Mkurugenzi Mtendaji Ndg Justice Kijazi akiwa na wakuu wa Idara wakijadili namna ya kuongeza mapato ya Halmashauri kwa kuunda timu mbalimbali za ukusanyaji wa mapato.kikao hicho pia kilikubaliana kuwa kila mkuu wa Idara mwenye miradi lazima alete Mapato,
lengo la yote hayo ili kuendelea kupata hati safi ya ukaguzi wa hesabu .
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa