Afisa ardhi Ndg Jackson pamoja na kituo cha sheria na haki za binadamu wakiwa kwenye kikao na wananchi wa kijiji cha Muungano leo 8 sept 2022,
Katika kikao hicho wananchi walalamikia kuchukuliwa ardhi na serikali ya kijiji na kupewa muda mfupi ili kuondoka mahali hapo,
Mwanasheria wa LHRC wakishilikiana na mwanasheria wa Halmashauri wamesema watakuwa pamoja na hao wananchi katika kutetea haki zao.
LHRC kazi yao kubwa ni kutoa msaada wa sheria wa watu maskini na kuwafuata mahali walipo.Pia wanahakikisha wanakuwa na muendelezo wa kufikia malengowakishirikiana na Halmashauri pamoja na mkuu wa wilaya husika.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa