Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Chini ya Mkurugenzi mtendaji Ndg Justice Kijazi pamoja na Idara ya Afya Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi chini ya Mkuu wa idara Mganga Mkuu wa wilaya Dkt Dorisilla wamepokea wageni kutoka Wizara ya Afya kuangalia hali ya utoaji wa huduma za Afya na uwepo wa vifaa tiba katika hospitali ya Wilaya ya Ikungi.Timu hiyo kutoka Wizara ya Afya Dodoma inapita katika Mkoa wa Singida na Wilaya zote kwa lengo la usimamizi shirikishi wa huduma za kinywa na meno kama anavyofafanua Dkt Baraka Nzobo Mkurugenzi masaidizi.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa