Mratibu wa maabara wa wilaya ya ikungi Bw Peter Mgana ametoa elimu kwa wakufunzi wa mgambo katika tarafa ya sepuka...
katika mafunzo hayo yaliyofanyika tarehe 18 Novemba 2022 katika tarafa ya sepuka Mgana ameelimisha mgambo kuhusu umuhimu wa uchangiaji wa damu.
kupitia mafunzo hayo takribani UNIT 61 zimepatikana wilayani hapa.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa