Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Ndg Justice Kijazi ameishukuru serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais wa awamu ya sita Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zaidi ya Bilioni 16 kwa ajili ya miradi mbalimbali wilayani hapa mwaka wa fedha 2021/2022.
Aidha kijazi ameongeza na kusema kuwa kwa kushirikiana na mkuu wa wilaya Mhe Jerry Muro,mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Ikungi Mhe Ally Mwanga wakuu wa idara, madiwani,watendaji wa kata na vijiji,pamoja na wananchi wa wilaya hii watahakikisha miradi inatunzwa na kuleta tija kwa maendeleo endelevu.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa