Zaidi ya washiriki 97 wapata mafunzo ya Kudhibiti tembo ambayo yametolewa kwa siku 3 kwa Jeshi la akiba Wilaya ya Ikungi na kupewa baadhi ya vifaa kwa ajili ya kukabiliana na tembo waharibifu.
Lengo la Mafunzo ni kusaidia kubaini na kujadili changamoto za wanyama pori hususani baadhi ya wanyama pori ambao wamekuwa waharibifu na kikwazo kwa jamii na katika maeneo baadhi kupelekea vifo mbalimbali.
Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Thomas Apson aipongeza TAWA kwa kusimamia mafunzo hayo yanayotarajiwa kufanyika Mkoa wa Singida katika Wilaya zote
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa