Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Ndg Justice Kijazi aongoza zoezi la ugawaji wa vishikwambi kwa watumishi Wilaya ya Ikungi.
Zoezi hilo limefanyika leo tarehe 04 Januari 2023 katika ukumbi wa halmashauri wilayani hapa ambapo walengwa wa vishikwambi hivyo ni walimu wa shule za msingi na sekondari maafisa elimu kata
na halmashauri mkoa.
Aidha afisa elimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Ndg Ngwano Ngwano amesisitizan kuwa Vishikwambi hivyo ni mali ya serikali na vimegaawiwa ili vitumike katika matumizi sahihi na endapo kiongozi atastaafu, kufukuzwa kazi, kufariki au kuacha kazi anapaswa kukabidhi kishkwambi hichio kwa wakuu wa kituo chake cha kazi.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa