Posted on: June 10th, 2021
Pongezi hizo zilitolewa na Mkuu wa mkoa wa Singida Dr. Binilith Mahenge alipokuwa akizungumza katika mkutano maalumu wa baraza la waheshimiwa madiwani lililofanyika tarehe 9 june 2021, wakati wa...
Posted on: May 27th, 2021
Kikao kazi cha uhabarisho na tathimini ya zoezi la ugawaji wa dawa za kichocho na minyoo ya tumbo kwa watoto wenye umri kuanzia miaka mitano (5) hadi kumi na nne (14) kufunguliwa na Mheshimiwa Mkuu wa...
Posted on: May 25th, 2021
Ufunguzi wa utambuzi na uandikishaji wa kaya maskini kwa vijiji Arobaini na nne (44) ambavyo havikufikiwa na mapango wa Awamu ya kwanza kuzinduliwa leo Tarehe 25/05/2021. Mheshimiwa Mkuu w...