Posted on: September 9th, 2022
Halmashauri ya ikungi imevuka lengo lilitorajiwa katika kampeni ya chanjo ya polio awamu ya tatu, kwa kutoa chanjo ya polio jumla ya ya watoto 97,575 sawa na asilimia 125.68.
akizungumza o...
Posted on: September 9th, 2022
Halmashauri ya wilaya ya Ikungi mkoani Singida inaendelea kukamilisha zoezi la kuchanja ng`ombe dhidi ya ugonjwa wa mapele Ngozi(lumpy skin disease).
Chanjo hii ni mwendelezo wa kata kumi na mbili ...
Posted on: September 8th, 2022
Mkurugenzi Mtendaji Ndg Justice Kijazi akiwa na wakuu wa Idara wakijadili namna ya kuongeza mapato ya Halmashauri kwa kuunda timu mbalimbali za ukusanyaji wa mapato.kikao hicho pia kilikubaliana kuwa ...