Posted on: July 5th, 2022
Ujenzi wa daraja la Faraja lililopo kijiji cha Makiungu katika kata ya Makiungu. Ujenzi huu unasimamiwa na TARURA Ikungi. Daraja linaendelea kujengwa kwa kasi kubwa ambapo wananchi watafaidika kwa kuo...
Posted on: July 3rd, 2022
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya leo Tarehe 04/06/2022 wametembelea na kukagua Mradi wa vyumba viwili vya madarasa katika Sekondari ya Issuna. Aidha Kamati hiyo imeridhishwa na ujenzi wa vyumba h...
Posted on: July 3rd, 2022
Shamba darasa la vijana lililotengenezwa katika Ofisi ya Halmashauri ya Ikungi lashamiri na kutoa mazao lukuki. Pichani kushoto ni Mkuu wa Mkoa Dkt. Bilinith Mahenge, wa kwanza kulia ni Mkuu wa Wilaya...