Posted on: May 27th, 2025
Mkuu wa Divisheni ya Utawala na Rasilimali Watu, Bi. Edina Palla, ameongoza semina fupi kuhusu maadili kwa watumishi wa umma, yenye lengo la kuimarisha ufanisi na nidhamu katika utendaji kazi.
...
Posted on: May 23rd, 2025
Dodoma, Mei 23, 2025 – Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kutekeleza ujenzi wa zahanati 1,158, vituo vya afya 367 na hospitali 129 katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rai...
Posted on: May 22nd, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego ameongoza ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Ikungi, akiwa ameambatana na Katibu Tawala wa Mkoa Dkt. Fatuma Mganga pamoja na wajumbe wa Kama...