Posted on: January 9th, 2026
Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi yatoa mafunzo ya mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote ambao unamhakikishia kila mwananchi kupata huduma bora za afya bila kikwazo cha gharama anapohitaji huduma hizo.
...
Posted on: January 7th, 2026
Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Bi. Edna Palla, akimwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Ndugu Kastori Msigala, amewaagiza wakandarasi wote waliopata tenda za utekelez...
Posted on: December 15th, 2025
Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Fatuma Mganga, leo tarehe 15 Desemba 2025, amefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Ikungi.
Kabla ya kuanza ziar...