Posted on: January 15th, 2024
Wachungaji na mashehe waaswa kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto hapo jana 15 januari 2024. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Ikungi Ndg Antony Mwangolom...
Posted on: January 18th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe.Thomas Apson atoa maagizo kutoka Kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida Kwa Maafisa Elimu Kata na Watendaji wa Kata na Vijiji juu ya kuwasisitiza wazazi kuandikisha watoto wao kuanza...
Posted on: January 11th, 2024
Mradi wa Kuboresha miundo mbinu ya maji na usafi wa mazingira SWASH wapokea milioni 61.8 inayoelekezwa kuboresha miradi ya maji,Vyoo vya Shule za Msingi na kuboresha zahanati hasa upande wa vyoo na Vi...