Posted on: November 16th, 2022
Afisa Maendeleo ya jamii Ndg Haika Massawe kulia picha ya pili kutoka kushoto wametembele mradi wa kikundi cha unyaghumpi kilichopo kata ya Muunga katika kijiji cha Unyaghumpi.
Kikundi hic...
Posted on: November 16th, 2022
Hospitali ya Makiungu iliyopo wilaya ya Ikungi imefanyiwa ukaguzi na Timu ya CHMT ili kuwa hospitali ya rufaa ngazi ya Mkoa.
Katika kikao hicho tarehe 15 novemba 2022, DMO(District Medical Officer ...
Posted on: November 15th, 2022
Meneja wa Program kutoka KIWOHEDE amewasilisha taarifa ya utekelezaji akianisha shughuli zilizotekelezwa ambazo ni kuanzisha klabu mbili katika vijiji vya Irisya na Munyu ,kujenga kituo Jumuisho (OSC)...