Posted on: October 18th, 2024
Zaidi ya washiriki 97 wapata mafunzo ya Kudhibiti tembo ambayo yametolewa kwa siku 3 kwa Jeshi la akiba Wilaya ya Ikungi na kupewa baadhi ya vifaa kwa ajili ya kukabiliana na tembo waharibifu.
...
Posted on: October 16th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Halima Dendego amewaomba wanawake kujiandikisha katika daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 na ku...
Posted on: October 16th, 2024
WILAYA ya Ikungi mkoani Singida wamekuwa washindi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 kwa Kanda ya Tatu, na kuweza kukabidhiwa kikombe na fedha sh. milioni moja, huku wakiongozwa na Mkuu wa Mk...