Posted on: February 5th, 2024
Waheshimiwa Madiwani wasisitiza Walimu kujengewa nyumba.Katika kikao hicho cha kamati ya huduma za jamii hapo Jana 5 February,2024 waheshimiwa wamesisitiza walimu wajengewe nyumba za kuishi ili ...
Posted on: February 4th, 2024
Wabunge wa Majimbo ya Singida Mashariki na Magharibi Mhe Jumanne Miraji Mtaturu na Elibariki Kingu wamekabidhi magari mawili aina ya landcruser kwaajili ya huduma za haraka (Ambulance) katika hospital...
Posted on: January 31st, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Thomas Apson amesisitiza wamiliki wa magari ya abiria katika kijiji cha Makiungu kufuata utaratibu wa kupakia abiria Hospitali ya Makiungu na Stendi ya Makiungu kama...