Posted on: January 18th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe.Thomas Apson atoa maagizo kutoka Kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida Kwa Maafisa Elimu Kata na Watendaji wa Kata na Vijiji juu ya kuwasisitiza wazazi kuandikisha watoto wao kuanza...
Posted on: January 11th, 2024
Mradi wa Kuboresha miundo mbinu ya maji na usafi wa mazingira SWASH wapokea milioni 61.8 inayoelekezwa kuboresha miradi ya maji,Vyoo vya Shule za Msingi na kuboresha zahanati hasa upande wa vyoo na Vi...
Posted on: January 11th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Peter Joseph Serukamba amewataka wataalamu wa Kilimo Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi kuishi katika vituo vyao vya kazi ili kuhakikisha wanawafikia wakulima wengi kwa urahis...